Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT MPYAAA KABISA UNAZINDUA MWENYEWE KUBWA SANA INA PANGISHWA 200K
LOCATION KIMARA SUKA
UMBALI NI KM 1.5
NI CHUMBA KIKUBWA SANA SEBULE KUBWA SANA YAANI MAKUBWA MNO
NA MASTER KUBWA JAMANI
IPO NDANI YA FENSI PARKING IPO
UMEME LUKU YAKO
MAJI SHEAR BILI
HII NYUMBA NI MPYAAA KABISA JAMAN
USAFILI BODA 1000 HADI NYUMBA
NYUMBA IPO UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI
KODI 200,000X6
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES CHUG NI 15,000
BILA KUSAHAU MALIPO YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
0713320608
0686334182