Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







MPYAA KODI 220,000X6
LOCATION: KIMARA SUKA
UMBALI KM 1
CHUMBA MASTER SEBULE NA JIKO
MAJI YANA TILILIKA NDANI
UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI
BODA 1000
IPO NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA
KUONA NYUMBA SERVICE CHARGE NI TZS.15000
NA UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
SIMU
0712656027



















