Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISWA KODI 250,000X6
LOCATION KIMARA MWISHO KM 1.5 USAFIRI BAJAJI DALADALA 700
DALALI MZOEFU MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 15,000 KUONA NYUMBA
SIFA ZAKE
____________
#CHUMBA KIMOJA MASTER
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA LA MAKABATI
#PABLICK TOILET
#UMEME LUKU YAKO
#MAJI DAWASCO YANAFLOW NDANI
#NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347