Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







Nyumba inayojitegemea yenyewe inapangishwa ipo kimara korogwe maeneo ya kilungule kwa mwarabu (Darwesh ) umbali wa km 1.5 kutoka Morogoro Road korogwe Mwendokasi Terminal.
Haipo ndani ya fensi ila Mazingira mazuri tulivu na Usalama upo.
Sifa zake -
Chumba kimoja master
Sebule kubwa
Public toilet
Jiko
Tails
gypsum
Madirisha Aluminium
Umeme Luku inajitegemea
Maji Dawasa yanaflow chooni jikoni & Rezev Simtank ipo.
Kodi ni laki 200,000 /=
Kwa mwezi.
Malipo miezi sita na Malipo ya dalali mwezi mmoja pindi ulipiapo nyumba.
Kuona nyumba elfu 15,000 /=
---------------
NB -MPANGAJI ANAETAKIWA HAPA NI MKIRISTO TU NA KODI NI MIEZI SITA CHINI YA HAPO HAIPUNGUI.
###0655256419



















