Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







APARTMENT_FOR_RENT_AT_MBEZI_KIBANDA_CHA_MKAAA
#CHUMBA KIMOJA CHA KULALA
#SEBULE KUBWA
#JIKO NZURI LENYE MAKABATI
#CHOO CHA NDANI
#UMEME LUKU YAKO
#MAJI YAKO PIA
#AIR CONDITION SEBULENI
#KODI NI TZS 250,000/=×6
NYUMBA IPO MBEZI KIBANDA CHA MKAAA UMBALI WA DAKIKA 7 TU KWA MGUU KUTOKA MOROGORO ROAD SIMU 0659336751 WSP 0786085637
NYUMBA INA FENSI YA WAYA ILA USALAMA WA KUTOSHA KABISA NA PIA KUNA MLINZI AMBAYE ANALIPWA NA MWENYE NYUMBA
SERVICE CHARGE NI TZS 20,000/=