Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


APARTMENT ZINAPANGISHWA_#MBEZI_KIBANDA_CHA_MKAA
#CHUMBA_MASTER_SEBULE_NA_JIKO
๐งLocation ::MBEZI KIBANDA CHA MKAA UMBALI WA DAKIKA 15 KWA MGUU KUTOKA MOROGORO ROAD
๐งBei :: 200,000 Kwa Mwezi
KODI MIEZI 3,4
Muundo wa Nyumba;
๐Chumba kimoja Cha kulala
๐Sebule
๐Jiko Nzuri lenye makabati
๐Choo Cha Ndani
๐Fence hamna ila usalama wa kutosha
๐Feni
๐Umeme wako
Wasiliana nasi Kwa Maelezo zaidi
Service charge elfu 15. Ukilipia nyumba ni kodi ya mwezi mmoja malipo ya dalali
# Simu 0757 404087



















