Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


CHUMBA KIMOJA MASTER KUBWA SNA SANA KINAPANGISHWA
LOCATION: MBEZI MWISHO NJIA YA MARAMBA
UMBALI KUTOKA KITUONI DKK 5 KUTEMBEA
SIFA ZAKE:
KIKUBWA SANA
WAPANGAJI 2 TU
UMEME UNAJITEGEMEA
MAJI YA BILI DAWASA
KODI 100,000 X 4
KUONA ELFU 20
MALIPO YA DALALI KODI YA MWEZI MMOJA
PIGA SIMU 0789049684


















