Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Pugu, Dar Es Salaam


NYUMBA ZINAPANGISHWA (NYUMBA MPYAAA)
ZIMEBAKI TATU TUUUUU!!
INA CHUMBA KIMOJA CHA KULALA, SEBULE, CHOO NA JIKO.
UMEME MITA YAKUJITEGEMEA NA MITA YA MAJI YAKUJITEGEMEA MAJI YANATOKA NDANI, PARKING IPO.
KODI 150000 KWA MWEZI.. MALIPO KWANZIA MIEZI MINNE.
LOCATION: PUGU, KITUO SEKONDARI.
CONTACT: 0692423138 / 0719115949.