Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Sinza, Dar Es Salaam


...
*Date Listed*16/05/2025
-Chumba Kikali Sana Kipya Cha Kibachela Kinapangishwa
- Mahali Kilipo:Sinza Kijiweni
-1 Bedroom Master
-Open Kitchen
-Umeme Unajitegemea
-Fenced
-Car Parking Space Available
-Paving Blocks
▪️Service Charge Ni 30,000/=(Payable Once)
▪️Bila Ya Kusahau Kodi Ya Mwezi Mmoja Wa@dalalimagomeni33
◾️Price 300,000/=
◾️Term:6 Months
▪︎ Call:-+0653683367/0682003534