Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Tangazo, Mtwara


๐ข TANGAZO KWA MADALALI WENZANGU โ SINGIDA MANISPAA ๐ข
Nina wateja watatu wanaohitaji vyumba vya kupanga.
๐ Mahitaji yao ni:
1๏ธโฃ Chumba chenye choo ndani (kipaumbele).
2๏ธโฃ Kama hicho hakipo, basi wanahitaji Chumba cha kulala chenye choo ndani + Sebule.
โUkimkosa vyumba vyenye sifa hizo, tafadhali nijulishe ulivyo navyo ili tuone kama vinafaa.
๐ Maeneo wanayopendelea (Singida Manispaa):
Jovena (karibu na barabara)
Mizani
Manga
Tafadhali nitumie picha, bei na masharti ya nyumba husika
๐ฐKodi 200,0000/=.
๐ 0658128485
---
#singida #dalalisingida #dalaliwanyumbasingida #vyumba_vya_kupanga #vyumbasingida #jovena #mizani #manga