Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISWA KODI 150,000X6 
LOCATION UBUNGO MAKOKA KM2 USAFIRI BAJAJI 700 KUTOKA UBUNGO RIVER SAID 
DALALI MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 15,000 KUONA NYUMBA 
SIFA ZAKE 
____________
#CHUMBA KIMOJA MASTER KIKUBWAA 
#JIKO KUBWA 
#MAJI DAWASCO YANAFLOW NDANI 
#UMEME SABMITA YAKO 
#NDANI YA FENSI PARKING SPACE IPO
#0785889413




















