Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam


:
CHUMBA KIMOJA MASTER BEDROOM NA JIKO #Mpyaa
#𝙇𝙤𝙘𝙖𝙩𝙞𝙤𝙣: UBUNGO ROVERSIDE KIBANGU
Usafiri Bajaj 700 Ukishuka Unatembea Dakika 2 Unaingia Ndani na Barabara ni Lami
#𝙎𝙞𝙛𝙖_𝙕𝙖𝙠𝙚
============
• CHUMBA KIMOJA KIKUBWA MASTER BEDROOM
• JIKO ZURI LINAWEKWA MAKABATI
• CHOO KIZURI CHA WAGENI
Apartment zipo ndani ya Fensi na kila Apartment Umeme LUKU Wawili na Maji DAWASA yanaflow ndani.
#𝙆𝙤𝙙𝙞_𝙠𝙬𝙖_𝙈𝙬𝙚𝙯𝙞 𝙣𝙞 Tsh. 170,000/- Malipo Miezi 6
#𝘼𝙣𝙜𝙖𝙡𝙞𝙯𝙤
Survey Charge ni 10,000 tu Utaonyeshwa Nyumba zote unazohitaji Zilizopo na Malipo ya Dalali ni Mwezi Mmoja Pindi Ulipiapo Nyumba.
#𝘿𝙖𝙡𝙖𝙡𝙞_𝙐𝙗𝙪𝙣𝙜𝙤
0716 776247 WhatsApp
0754 221168 WhatsApp
NOTE: VYUMBA NI VIPYA NA VITAKUWA TAYARI KUINGIA TAREHE 15 MWEZI WA 12