Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam







Apartment_Classic_For_Rent
KODI 150,000 × 6
Location: UBUNGO MAKOKA
Distance: KM 2 Kutoka Mandela Road Au KIMARA KOROGWE MWENDOKASI
Usafiri 24Hours Bajaji 500 Kutoka RIVERSIDE
✔️Sebule Kubwa
✔️Chumba Kimoja Kikubwa Master
✔️Umeme LUKU Yako
✔️MAJI Yanaflow Chooni 24HRS
✔️Ipo Kwenye Fence
✔️No Parking
✔️Good Environment 👍
📌Itakuwa Wazi 11/08/2025
Kuona Nyumba Na Kulipia RUKSA BOSS 💰 ✍️
Service Charge 15,000
1 Month Agent Commission
For More Informations
0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp