Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI MPYA KABISA ZINAPANGISWA KODI 200,000X6
LOCTION UBUNGO MAKOKA KWA MKUA KM2 USAFIRI BAJAJI DALADALA 500 UKISHUKA UNATEMBEA DK 4 UMEFIKA
DALALI MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 15,000 KUONA NYUMBA
SIFA ZAKE
____________
#CHUMBA KIMOJA MASTER
#SEBULE KUBWA
#MAJI DAWASCO YANAFLOW NDANI
#UMEME LUKU YAKO
#PARKING SPACE KUBWA PEVING BLOCK π«
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347