Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam







#0742260844 #0788296797 #0657384670
APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISWA
KODI NI 300,000X6
LOCATION UBUNGO RIVERSIDE KIBANGU DAKIKA 10-12 KUTEMBEA USAFIRI BAJAJI 500 UKISHUKA DAKIKA 3 UPO NYUMBANI
DALALI MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA
SEVCHAGE 15,000 KUONA NYUMBA
SIFA ZAKE
=========
#CHUMBA KIMOJA KIKUBWA SANA
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA LA KISASA
#PABLICK TOILET NDANI
#UMEME LUKU YAKO
#MAJI DAWASCO YANAFLOW NDANI
#NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA
NB: NYUMBA INAKUWA WAZI LEO JIONI KUONA KULIPIA RUKSA