Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam







0679 997610
NYUMBA #MPYAA YA KUPANGA- #UBUNGO_MAKOKA 150,000 KWA MWEZI KODI MIEZI 6
📌CHUMBA KIMOJA MASTER KIKUBWA SANA
📌JIKO KUBWA Tsh. 150,000/=
Usafiri bajaj 700 kutokea ubungo riverside au kimara korogwe kilungure mwendokasi
Full Tilles,Gypsum & Aluminum slide window.
LUKU Inajitegemea na Maji yapo dawasco yanaflow ndani
Nyumba Haina fensi ila gari linafika Hadi nyumbani nyumbani
#Kodi 150,000/= Kwa mwezi malipo miezi 6 na malipo ya mwezi mmoja wa dalali
Service_Charge_20,000/= ya kuonyeshwa na kutafutiwa Nyumba mpaka upate bila kuchajiwa tena ukirudi.
CONTACT
067997610WhatsAp /call
0747997630☎
Msigwa



















