Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI SANA MPYA KABISA KODI 150,000X6
LOCATION UBUNGO MAKOKA KM2 USAFIRI BAJAJI DALADALA 700 KUTOKA UBUNGO RIVER SAID AU KIMARA KOROGWE MWENDO KASI
DALALI MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 15,000 KUONA NYUMBA
SIFA ZAKE
____________
#CHUMBA KIMOJA MASTER KUBWA
#JIKO KUBWA LINAWEKWA MAKABATI YA JUU
#MAJI DAWASA YANAFLOW NDANI
#UMEME LUKU W2
#JIPSUM TAILZ SLAIDING WINDOW 🪟
#NDANI YA FENSI PARKING SPACE IPO
NB: NYUMBA ITAKUWA TAYARI KUINGIA TAREHE 20/10/2025 KUONA KULIPIA RUKXA