Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam







Apartiment house for rent nzuri
Location ubungo riverside dakika 10 kutembea mpaka home
Kodi 200000 kwa mwezi na dalali mwezi 1 Service charge 15000 kuona nyumba
Chumba kimoja master
Sebule
Umeme luku yake
Maji dawasa ndani yanafloo
Mazingira tulivu sana
dalali ubungo mbezi kimara
0785299128