Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam







Apartiment house for rent nzuri
Location ubungo kibangu dakika 12 kutembea mpaka home
Kodi 25000 kwa mwezi na dalali 1 Service charge 15000 kuona nyumba
Chumba kimoja master
Sebule
Sehemu ya jiko
Umeme luku yake
Maji dawasa ndani yanafloo
Parking space fency
dalali ubungo mbezi kimara
0785299128