Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISWA KODI 120,000X6
LOCATION UBUNGO MAKOKA KM2 USAFIRI BAJAJI 700 KUTOKA UBUNGO RIVER SAID
DALALI MZOEFU MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 15,000 KUONA NYUMBA
SIFA ZAKE
____________
#CHUMBA KIMOJA MASTER BEDROOM
#MAJI DAWASCO YANAFLOW CHOONI
#UMEME SHEAR
#NDANI YA FENSI PARKING SPACE IPO
SERVICE CHARGE 15000
CALL 0659244543