Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISWA KODI 180,000X6
LOCATION UBUNGO KIBO DAKIKA 6 KUTEMBEA
DALALI MZOEFU MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 20000 KWENDA KUONA NYUMBA
SIFA ZAKE
_____________
#CHUMBA KIMOJA MASTER KIKUBWAA NA KABATI LA NGUO
#SEBULE KUBWA
#MAJI DAWASCO YANAFLOW NDANI
#UMEME LUKU SABMITA
#NDANI YA FENSI PARKING SPACE IPO
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347



















