Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISWA
Kodi 170,000/= X6
LOCTION UBUNGO MAKOKA KM2 USAFIRI BAJAJI 700 KUTOKA UBUNGO RIVER SAID AU KIMARA KOROGWE MWENDO KASI UKISHUKA TU UMEFIKA
Sifa zake :-
_____________
#CHUMBA KIMOJA MASTER KUBWA SANAA
#JIKO KUBWAA
#MAJI DAWASCO YANAFLOW NDANI
#UMEME LUKU YAKO
#FENCI YA WAYA PAKING SPACE
NB: NYUMBA BADO V2 VIDOGO VIDOGO IKAMILIKE RANGI NA KUPAJIKA VIKABATI JIKONI WAI NDUGU MTEJA
Kwa maelezo zaidi piga :-
0712528820
0685221354
Mr.



















