Nyumba ya chumba kimoja inauzwa Kibaha, Pwani


NYUMBA YA KISASA INAUZWA
MAHAL KIBAHA MIEMBE SABA KARIBU NA PETROL STATION YA PANONE
UMBAL WA DK 7 KUTOKA MIEMBE SABA STENDI MPKA NYUMBAN
NYUMBA INA VYUMBA V3 VYA KULALA KIMOJA MASTER BEDROOM
SITTING ROOM KUBWA SANA
DINNING ROOM KUBWA
KITCHEN WITH CABINET
PUBLIC TOILET
STORE
UKUBWA WA KIWANJA SQM 600
DOCUMENT SALES AGREEMENT
NYUMBA IPO NDAN YA FENS
MAJI DAWASCO&UMEME ✔️
HAT MILIKI IPO MKONONI
BEI MILLION 75 MAONGEZ YAPO
☎️ #0757208653
☎️ #0786160635