Nyumba ya chumba kimoja inauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam


📍BEACH PLOT FOR SALE KIGAMBONI KIMBIJI.
Eneo: Yaleyale – Manispaa ya Kigamboni, Dar es Salaam
📏 Takribani km 40 kutoka Ferry ya Posta
🏡 MAELEZO YA MALI
Tunauza kiwanja kikubwa chenye nyumba kilichopo katika mazingira tulivu na yaliyohifadhiwa vizuri.
📐 Ukubwa wa Viwanja:
Plot No. 116 – SQM 10,722
Plot No. 111 – SQM 9,456
Plot No. 112 – SQM 2,952
Plot No. 113 – SQM 2,482
Plot No. 114 – SQM 2,901
🔢 Jumla ya Ukubwa: SQM 28,513
🏠 Muundo wa Nyumba:
Chumba 1 cha kulala
Jikoni
Sebule
Eneo la kula
Stoo (storage)
🚗 Huduma & Mazingira:
Eneo kubwa la wazi kwa ajili ya maegesho
Maji yapo
Umeme wa TANESCO upo eneo husika (bado haujaunganishwa ndani ya nyumba)
Mazingira safi, tulivu na yanayotunzwa vizuri
📄 Umiliki Halali:
Hati miliki (Title Deeds) za viwanja vyote zipo
Vyeti vya Umiliki (Certificates of Occupancy) vinapatikana
🧱 Hali ya Nyumba:
Nyumba imekamilika kwa sehemu
Vifaa vya ujenzi vilivyobaki vipo kwenye stoo
💰 Bei: Bilioni 2 (maongezi yapo kidogo)
🛠️ Service charge: Tsh 50,000 tu mpaka upate unachopenda
---
📞 Wasiliana nasi:
WhatsApp / Piga Simu ☎️ +255 782 146 531
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
#WasafiMedia #FridayTurnUp #AfricaIsWatching #WasafiDigital #CloudsDigitalUpdates XXLVibe XXLCloudsFM ZigoKamaLote DStvPoaZigoKamaLote MillardAyoUPDATES UNAAMBIWA MillardAyoMagazeti MwananchiUpdates NguvuMoja timuyawananchi daimambelenyumamwiko AzamSports1HD sammisagotv


















