Nyumba ya chumba kimoja inauzwa Kinyerezi, Dar Es Salaam


MADUKA 11, APARTMENT 5, TSHS.160,
KINYEREZI, KIFULU KWA UNJU.
Hii ni nyumba ya Biashara na Makazi.
Ipo umbali wa kilomita 4 kutoka Barabara ya Morogoro na kilomita 1 tu kutoka Barabara ya Kinyerezi.
Maduka ya Biashara jumla yapo 11.
Na pia kuna Apartments za Chumba kimoja-kimoja 4,
Apartment moja ni ya Masta na Sebule.
WAHI UPATE KITEGA UCHUMI HIKI.
____________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu.
+255 714 591 548
_____________mpg