Nyumba ya chumba kimoja inauzwa Kitunda, Dar Es Salaam







NYUMBA INAUZWA BINAFSI, BEI POAA
IPO KITUNDA MACHIMBO DAR ES SALAAM TANZANIA
INA VYUMBA v3, KIMOJA SELF, SEBULE KUBWAA, JIKO, DINNING NA STORE
NJE IPO SERVANT QUARTER YENYE CHUMBA KIMOJA
UKUBWA WA KIWANJA SQM SQM 700
BEI MIL 35
UMILIKI MAUZIANO SERIKALI YA MTAA
MAJI UMEME VIPO NDANI
NYUMBA INA FULL AC
NYUMBA IPO UMBALI WA MITER CHACHE TU KUTOKA STENDI YA DALADALA
KARIBU
TUWASILIANE +255 658 582977, +255 784 919453
KUJIUNGA NA GROUP LETU LA WHATSAP BONYEZA HAPA π https://chat.whatsapp.com/BLDVlGxAuXH2z2p5y9u9fq
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
#regrann #nyumbazakisasa #nyumbanichoo #nyumbanzuri #auction #dalaliwanyumba #viwanja #mashamba #plot #kiwanja #cloudstv #nyumbanafuu #nyumbayakupanga #nyumbayangu #nyumbadareslaam #clouds #maishaninyumba
#daressalaam #wemasepetu #mwanza #kilimanjaro #nyumba #magari #tanzania #biashara #bongo #kariakoo #business #home #houseforsale