Nyumba ya chumba kimoja inauzwa Kitunda, Dar Es Salaam







NYUMBA IMESHUKA BEI
KWA SASA INAUZWA MILION 80 ❌BEI YA MWANZO MILN 110❌
Nyumba inauzwa Kitunda kivule njia panda shule👉 Dar-Ilala
📌BEI MILION 80 INAPUNGUA KIAS📌
Jumla ya vyumba v5
NYUMBA KUBWA VYUMBA V3 KIMOJA MASTA
Dining, siting, jiko na stoo
Taliz jipsam
NYUMBA NDOGO INA CHUMBA KIMOJA SEBULE NA JIKO
Full perving
Ina kisima cha maji
👉Ina Hati miliki ya wizara
Gari moja had mjini
Eneo sqm 937
Unatembea tu had stend
Whatsap au piga
0760053111
0614130017