Nyumba ya chumba kimoja inauzwa Nzuguni, Dodoma


GHOROFA YA KUMALIZIA INAUZWA NZUGUNI ‘A’ DODOMA.
👉13km kutoka mjini, mita 100 kutoka lami ya Nzuguni.
👉Ground floor kuna sitting room, dinning, jiko, stoo, public toilet na chumba kimoja. First floor kuna two master bedrooms.
👉Kiwanja kina ukubwa wa 400sqm, Kina document za upimaji na Mkataba wa mauziano.
👉 Inahitaji finishing kubwa. Nyumba Ina fensi tayari.
👉Bei ni milioni 58. Tu
Site fee 20,000/=
📞0787037986