Nyumba ya vyumba vinne inapangishwa Bunju, Dar Es Salaam







TAREH 14/2/2025 NYUMBA INAPANGISHWA DAR ES SALAM TZ.
MAHALI BUNJU BEACH MOGA
NYUMBA YA VYUMBA V5
VYUMBA VINNE MASTER
SEBULE DINING PABLC STOO JIKO MAJI UMEME FENS GET ALUMINIAM
BEI TSH LAKI 7 KWA MWENZ
MFUMO WA MALIPO MIEZI 6
MAWASILIANO YETU YA SIM
#0689138795whatsapp
#0758998074๐
UDUMA YA KUONA NYUMBA ELFU 30