Nyumba ya vyumba vinne inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







NYUMBA KALI MNO (STAND ALONE) INAPANGISHWA KIMARA SUCA YENYE SIFA HIZI
VYUMBA VINNE KULALA KIMOJA MASTER,SEBLE,JIKO,DINNING NA CHOO PUBLIC NDANI YA FENSI
UMEME,MAJI DAWASA NA PIA KUNA KISIMA CHA MAJI YA MVUA NA MAJI YANAFLOW NDANI
NYUMBA IKO UMBALI WA KM 2.5 KUTOKA MOROGORO ROAD
BARABARA NI RAFIKI KWA GARI AINA YEYOTE
KODI TSH 400,000x6
SERVICE CHARGE TSH 20000
What saapp number 0689-547258



















