Nyumba ya vyumba vinne inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







NYUMBA INA PANGISHWA INA JITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENCE STAND ALONE KIMARA MWISHO KM1 KUTOKA LAMI
-----
Vyumba 4 vya kulala kimoja master bedroom
Seble kubwa sana
Jiko
Public toilet
Slide window
Luku yako
Maji yana flow
Ndani ya fence
Parking space kubwa
----
Service charge 15,000/=
Kodi 500,000x6
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 5
------
Contact
Contact
#0676_218580(WhatsApp)
#0693_673010
#DALALI_BIG_KIMARA🇹🇿
#KIUMBE_REAL_ESTATE_AGENT
EPUKA MATAPELI FANYA KAZI NA MADALALI WENYE OFFICE NA WALIYO SAJILIWA 🙏



















