Nyumba ya vyumba vinne inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







NYUMBA INA PANGISHWA INA JITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENCE STAND ALONE KIMARA SUKA DK8 KWA MIGUU INAKUWA WAZI TAR 28.9.2025 AU KABLA YA HAPOKUONA NA KULIPIYA LUKSA
VYUMBA 4 VYA KULALA KIMOJA MASTER BEDROOM
SEBLE KUBWA
DINNING ROOM
JIKO KUBWA LA KISASA LINA MAKABATI
PUBLIC TOILET
MAJI YANA FLOW
NDANI YA FENCE
PARKING SPACE KUBWA
KODI 500,000/=×6
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICE CHARGE NI TZS.15000
NA UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747
0683-387747