Nyumba ya vyumba vinne inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







#Repost Dalalimbezibeach_semba
• • • • • •
NYUMBA KUBWA NZURI YA KISASA
INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI
INAPANGISHWA KIMARA KOROGWE
BEI NI 600,000/= X 6
🌟 NYUMBA HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 4 VIKUBWA VYA KULALA
CHUMBA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA SANA
#DINNING
#JIKO KUBWA
#AIR-CONDITION
#GARDEN
#ELECTRIC FENCE
#PARKING KUBWA
#INAJITEGEMEA KWENYE FENSI
BEI NI 600,000/= X 6
BILA KUSAHAU PESA YA TAHADHARI (CAUTION MONEY) KODI YA MWEZI MMOJA
🇹🇿 NYUMBA HII IPO KIMARA KOROGWE KILUNGULE NJIA ILIYOWEKWA LAMI SAFI NA KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1.8 USAFIRI NI BAJAJI AU BODABODA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 20k NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
__
#0718 759287
#0685 006223
Dalalimbezibeach_semba
PIA VIWANJA VINAPATIKANA VYA KUNUNUA