Nyumba ya vyumba vinne inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







NYUMBA INA PANGISHWA KIMARA SUKA DK10 KWA MIGUU KUTOKA LAMI 
BODA BUKU INAKUWA WAZI TAR 28.9.2025 KUONA NA KULIPIYA LUKSA 
------
Vyumba 4 vya kulala kimoja master bedroom 
Seble kubwa 
Dinning room 
Jiko kubwa la kisasa lina makabati 
Public toilet 
Maji yana flow 
Ndani ya fence 
Parking space kubwa 
-------
Service charge 15,000/=
Kodi 500,000x6 
--------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 5
---------
CONTACT 
#0676_218580 (WhatsApp)
#0693_673010 
#dalali_big_kimara๐น๐ฟ๐ฅ 
#KIUMBE_REAL_ESTATE_AGENT 
EPUKA MATAPELI FANYA KAZI NA MADALALI WENYE OFFICE NA WALIYO SAJILIWA ๐



















