Nyumba ya vyumba vinne inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







SIKIA HII SIO YAKUKOSA STAND ALONE YA FAMILIA INAPANGISHWA
LOCATION KIMARA MWISHO UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MJINI
KODI: 500,000X6
UMBALI KM 1.5
USAFIRI BAJAJI 1000 NA BODA 1000 ADI MLANGONI
SIFA YA HII NYUMBA
VYUMBA VINNE VYA KULALA KIMOJA MASTER SEBULE KUBWA NA DINNING JIKO LA KISASA FULL MAKABATI TOILET PUBLIC YA NDANI
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI PIA YANA FLOW NDANI MASAA 2A
NYUMBA IPO NDANI YA FENSI FULL PEVING BLOCK
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES CHUG 15,000
NA UKIPENDA NYUMBA KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI
#0625606710