Nyumba ya vyumba vinne inapangishwa Kinondoni, Dar Es Salaam


WAHI NYUMBA YA TSHS.55 MILIONI TU,
KINONDONI.
Nyumba kubwa ina vyumba 4.
Pia Uwani kuna Vyumba 2.
Hii unaweza kufanya Biashara ya Kupangisha iwapo hutaishi mwenyewe.
HIJ BEI NI YA-DHARULA.
USIJIULIZE SANA NJOO SAITI.
Changamoto yake ni moja tu,
GARI HAIINGII.
_______________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tuwasiliane iwapo tu unaridhia taratatibu zangu.
+255 714 591 548
_______________ems