Nyumba ya vyumba vinne inapangishwa Kinondoni, Dar Es Salaam


🏡 NYUMBA MPYA INAPANGISHWA – KINONDONI
💰 Kodi: 1,000,000/= kwa mwezi
🕰️ Malipo: kuanzia miezi 4
✨ Vyumba viwili vya kulala
✨ Sebure na jiko pamoja
✨ Choo public
✨ Nyumba mpya kabisa, ndani ya fence
✨ Mazingira mazuri na salama
✨ Inaruhusiwa pia kwa matumizi ya Airbnb
✅ Nyumba ya kisasa, perfect kwa makazi au biashara ya short-stay.
📞 Wahi sasa 👉 0678 512 666
💡 Fursa ya Airbnb Kinondoni haikai sokoni – chukua hatua leo!