Nyumba ya vyumba vinne inapangishwa Kinyerezi, Dar Es Salaam


STEND ALONE KINYEREZI MBUYUNI
BEI 1 000 000X12
VYUMBA 4 VYA KULALA
VYOTE MASTER
SEBULE KUBWA
DAINING
JIKO SAFI LA MAKABATI
CHOO CHA PABLIC
MAFENI
PAKING PEVING BLOCK
GARDENI
CCTV CAMERA
NYUMBA IPO DK 3 TOKA KITUONI
0689439787 whts up or call
0767175242 call
SERVICE CHARGE 20,000
MWEZI MMOJA KUNA MALIPO YA DALALI BAADA KULIPIA NYUMBA