Nyumba ya vyumba vinne inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







NYUMBA KUBWA YA KIFAMILIA. INAYOJITEGEMEA FENSI
STANDI ALONE KUBWA YA KIFAMILIA
===
INAPANGISHWA IPO MBEZI MAGUFULI
UMBALI KUTOKA MOROGORO ROAD NI KM 1,5
BODABODA 1000/
===
SIFA ZA NYUMBA
VYUMBA VINNE VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER
SEBULE KUBWA SANA
DAINING
JIKO KUBWA LENYE NAFASI
STOO NA CHOO PABLIC MBILI
NYUMBA NI MPYAA KABISA BADO VITU VICHACHE TU KUKAMILIKA
WAHI CHAP MALIPO YANAPOKELEWA
===
MAJI DAWASA PAKING SPESI KUBWA
====
KODI. 600,000/=X6
KUONA NYUMBA 15000/
DALALI. 600,000/=
PINDI ULIPIAPO NYUMBA
====
SIMU
+255 684 88 14 29
+255 658 58 64 49
MSHATI



















