Nyumba ya vyumba vinne inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







STAND ALONE KUBWA SANA YA KIFAMILIA INA PANGISHWA
KODI 700,000X6
LOCATION: MBEZI MWISHO ROUND ABOUT YA GOBA
INA VYUMBA VINNE VYA KULALA
KIMOJA MASTER
SEBULE KUBWA SANA
PUBLIC TOILET NDANI NA NJE
BAFU LAKE
JIKONI MAKABATI
STORE KUBWA NJE
FULL AC SEBULENI NA CHUMBANI
IPO NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA SANA
UMBALI TOKA NJIA PANDA YA GOBA ROAD NI KM 1
MAJI YANA TILILIKA NDANI
NDUGU MTEJA NYUMBA HII NI YA KISASA
KUONA NYUMBA SERVICE CHARGE NI 20,000
NA UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
PIGA SIMU USITUME SMS UTACHELEWA KUJIBIWA
SIMU
+255 684 88 14 29
+255 658 58 64 49
MSHATI