Nyumba ya vyumba vinne inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







House for rent stand alone inayojitegemea ndani ya fency
Location mbezi kwa msuguli km2 usafiri bajaji na boda
Kodi 400000 kwa mwezi na dalali mwezi 1 Service charge 15000 kuona nyumba
Room 4 moja ni master bedroom
Sitting room
Kitchen
Umeme luku yake
Maji dawasa ndani yanafloo
Parking space
dalali ubungo mbezi kimara
0785299128



















