Nyumba ya vyumba vinne inapangishwa Mbuyuni, Morogoro







House for Rent Stand Alone Inajitegemea fancy yake Mwenyewe Parking space Kubwa sana
Location Salasala Mbuyuni Mbezi Beach Usafiri ni Bajaji na Boda Ukishuka Dakika 3 Kutembea mpaka Kituoni
Kodi 1000000×3 Kwa Mwezi Dalali Mwezi 1 Service Charge 20 Kuona Nyumba
Sifa zake
=========
Room 4 Moja ni Master Bedroom
Sitting Room
Kitchen with Cabinet
Public toilet ndani
Luku yake
Electrical fancy
Pavin Block
Garden
Slide window
Tiles
Gypsum
Good environment
Piga sim Kwa Maelezo zaidi
0712500602
0755336565