Nyumba ya vyumba vinne inapangishwa Mbweni, Dar Es Salaam


NYUMBA NZURI SANA π‘π INAJITEGEMEA INAPANGISHWA
LOCATION: MBWENI (MITA 200 KUTOKA BARABARA YA LAMI)
INA VYUMBA VINNE VYUMBA VITATU MASTER SEBLE KUBWA JIKO NA PUBLIC TOILETS PIA INA SERVANT KOTA YENYE CHUMBA MASTER NA Electric fence
KODI: TSH 850K KWA MWEZI
TUWASILIANE
Call/ Whatβs up
+255673772289
Email:dalaliboris@gmail.com