Nyumba ya vyumba vinne inapangishwa Mbweni, Dar Es Salaam


NYUMBA INA PANGISHWA INA JITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENCE STAND ALONE MBWENI JKT
-------
Vyumba 4 vya kulala vyote master bedroom
Seble kubwa.
Jiko kubwa la kisasa lina makabati
Public toilet
Slide window
Luku yako
Swimming pool
Full air condition
Tiles
Gypsum.
Garden safi
Ndani ya fence
Paving block
Parking space kubwa
--------
Service charge 20,000/=
Kodi USD 1000 kwa mwezi
Ilipwe miezi 6
----------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni USD 1000
-----------
CONTACT
๐#0676_218580 (WHATSAPP)
๐#0693__673010
#DALALI_BIG_GOBA_MBEZI_BEACH ๐น๐ฟ