Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Bagamoyo, Mbeya


NYUMBA YA KISASA YAKUHAMIA, TSHS.180 MILIONI, KIHARAKA/MINGOI.
Ipo umbali wa mita 400 tu kutoka Barabara ya Bagamoyo.
Ni baada ya Daraja la Bunju B.
Kiwanja kina ukubwa wa SQM.800.
Umiliki ni HATI (Title Deed) ya Wizara.
Vyumba 4(Masta 1)
Pia ina Sebule, Jiko, Dining-room, Store na Choo cha Familia ndani.
___________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000
(Unalipa wewe Mnunuzi)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
+255714591548.
____________jKG
Ukihitaji kuikagua taarifa mapema tafadhali.