Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Goba, Dar Es Salaam


180 MILION, MAZUNGUMZO YAPO,
GOBA NJIA NNE, INA HATI MILIKI YA WIZARA,
Nyumba inauzwa goba,
vyumba 4 vya kulala, 1 master
sebule kubwa
jiko lenye makabati,
public toilet
bafu
ndani ya fance
maji na umeme vipo,
fance wire ipo,
KOTA YA NJE,
jiko kubwa la nje,
stoo,
public toilet
chumba master juu,
UKUBWA WA ENEO NI SQM 515, INA HATI MILIKI,
BEI 180m, mazungumzo yapo,
0745559598