Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Goba, Dar Es Salaam


GHOROFA YAKUMALIZIA,INAUZA BANK,TSHS.300 MILIONI, GOBA.
Hapa ni KULANGWA-GOBA/MADALE Road.
Mita 309 tu kutoka Barabara ya Lami.
Mtaa uliojengeka Vizuri mno.
Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 1,000.
Umiliki ni HATI (Title Deed) ya Wizara.
Vyumba 4 (Masta 1)
Sebule, Jiko, Dining-room,
Store na Choo cha Familia ndani
______________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu.
+255 714 591 548
_______________jj


















