Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Kibamba, Dar Es Salaam







NYUMBA INAUZWA IPO KIBAMBA SHULE HAPO MITAA YA OFISI ZA NIDA YA ZAMANI
NYUMBA INA VYUMBA VINNE VYA KULALA VIWILI NI MASTER SEBLE DAINING JIKO NA PABLICK TOILETY
NYUMBA INAENEO LA UKUBWA WA MITA 35 X22
BEI MILION 65 MAONGEZI YAPO
MTA NI MZULI NA TABLALE MTAA UNAFIKIKA KWA MAGALI YA AINA ZOTE
KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DAKIKA 5 KWA MIGUU AU BODA 1000
ENEO LIME PIMWA LINA HATI MILIKI KABISA YA WIZALA
KUJA KUONA NYUMBA ERFU 20000
CALL
WHSP
KARIBUNI SANAAA
+255 684 88 14 29
+255 658 58 64 49
MSHATI