Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Kimara, Dar Es Salaam







BEI MILIONI 100
MAONGEZI YAPO
NYUMBA INAUZWA IPO KIMARA MWISHO
UKISHUKA KWENDA KWENYE NYUMBA
UMBALI WA KILOMITA 1 NA POINT 5
USAFIRI BADO BODA 1000
BAJAJI 700
UKISHUKA KWENDA KWENYE NYUMBA KUTEMBEA KWA MIGUU DAKIKA 6
NYUMBA IMEISHA YA KUAMIYA TU
INAMPANGAJI ANAISHI
SIFA YA NYUMBA
INAVYUMBA 4 VYA KULALA KIMOJA MASTA SEBULE DAININGI
CHOO
CHA PABILIKI
UKUBWA WA ENEO MITA 20 KWA 18
NI SAWA SM MITA 380
MAJI DAWASKO
NYUMBA HATI MILIKI YA SERIKARI JAMANI
IPO NDANI FENSI
BARABARA INAFIKIKA
MUDA HOHOTE
BEI MILIONI 100
MAONGEZI YAPO
KUPELEKWA KUONA 25000
SIMU
0712666027