Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Kimara, Dar Es Salaam


NYUMBA BEI RAFIKI, TSHS.45 .ILIONI, KIMARA MWISHO.
Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 400.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.
Hii ni nyumba kubwa ya Familia yenye vyumba 8 jumla.
Nyumba kubwa vyumba 4 na juna Mabanda ya Uwani yenye vyumba 4
Huduma zote muhimu zipo.
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.
___________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
+255714591548
_________mpg
Ukihitaji kuikagua taarifa mapema tafadhali.